Ni kweli, ni muhimu mtu kumsikiliza na kumwamini ampendae kama vile wewe umsikilizavyo na kumwamini smart911 wako!🙂🙂🙂
mahaba Niue.Asanteee heheheheeee raha jipe mwenyewee.... you do me, I do you.....
Hahaha... shiiiiiih. Hata tukivunja kitanda I will campent it for my self.Ukiruhusuu tuu niwae mrejesho ujue wataniteka kama Roma Mkatoliki... hehehheeee kama utaridhia nitekwe hayaa... ila utakuwa ndo ushayakosa madude matamu...
Habari za mwisho wa juma,
Salamu hizi zikufikie ndugu Behaviourist popote ulipo.....
Baada ya salamu hebu nieleze kinaga ubaga..... kulikoni wewe na Kasinde ambaye ni Kasie.. . Maana huishi kumtaja na kumzungumzia hata mahali ambapo hatakiwi.... nikisema hivi sio kuwa hutakiwi kumtaja bali umekuwa mchokozi bin mfukunyuzi....
Hebu pitia huko ulikomtaja Kasinde uone uchokozi wako.... halafu kama unataka kupata uhakika au uhalisia wa jambo la Kasinde wee mtaje Kasie hapo ntapata notification na kukupa uhalisia ila isipobidi nna haki ya kunyamaza kimya.
Hakuna ubaya ndugu tabia na tabia zako bali ni kuwekana sawa tuu, don't take it too personal.... its JF society we are living in....
Ever smiling Kasie.
Nice game,and i enjoy watching it..Hhahahahahaaaaa nota bene: Its a bling game.....
When you guys are ready to open the bracket...lemme know pls(and something in bracket)
Teh teh..Ng'ombe hazeeki maini sio..Haya bana
Basi naomba niwepo eneo la tukio kushuhudia live..Mana kauli taarifa ina mapungufu yakeWeeeh!!!, utaweza kuvumilia kusikiliza huo mrejesho utakaoletewa.... heheheheheeee vingine kubali vikupite tuu, ukiona manyoya ujue ishaliwa....
TehTeh teh..Ng'ombe hazeeki maini sio..Haya bana
Yeah you should.. I'm your soldier. And a soldier is always a solder.sawa kabisaa, salute to you Daby.