Behaviourist Kasinde aka Kasie ana nini nawe?

Behaviourist Kasinde aka Kasie ana nini nawe?

Ni kweli, ni muhimu mtu kumsikiliza na kumwamini ampendae kama vile wewe umsikilizavyo na kumwamini smart911 wako!🙂🙂🙂

Hivi wewe Behavior.... una matatizo gani lakini?.... Naona una kitu unakitafuta.... si buree.... aliyekwambia Smart911 ni wangu nani? That was history and past... ishapita na hairudi tena.... upo!!! Jifunze kupata habari kwa kuuliza sio kwa kumumunya mumunya maneno... muone kwanza.
 
Teh teh..Haya boss..Ukimvua Kaboka utaleta mrejesho

Weeeh!!!, utaweza kuvumilia kusikiliza huo mrejesho utakaoletewa.... heheheheheeee vingine kubali vikupite tuu, ukiona manyoya ujue ishaliwa....
 
Ha ha ha...haya ikiwezekana nitamtuma mwenyewe aje apayuke.

Ukiruhusuu tuu niwae mrejesho ujue wataniteka kama Roma Mkatoliki... hehehheeee kama utaridhia nitekwe hayaa... ila utakuwa ndo ushayakosa madude matamu...
 
055.jpeg
055.jpeg



bila kupata balimi siwezi kuelewa lolote hapa khaaaaaaaaa
 
Ukiruhusuu tuu niwae mrejesho ujue wataniteka kama Roma Mkatoliki... hehehheeee kama utaridhia nitekwe hayaa... ila utakuwa ndo ushayakosa madude matamu...
Hahaha... shiiiiiih. Hata tukivunja kitanda I will campent it for my self.
 
Habari za mwisho wa juma,

Salamu hizi zikufikie ndugu Behaviourist popote ulipo.....
Baada ya salamu hebu nieleze kinaga ubaga..... kulikoni wewe na Kasinde ambaye ni Kasie.. . Maana huishi kumtaja na kumzungumzia hata mahali ambapo hatakiwi.... nikisema hivi sio kuwa hutakiwi kumtaja bali umekuwa mchokozi bin mfukunyuzi....

Hebu pitia huko ulikomtaja Kasinde uone uchokozi wako.... halafu kama unataka kupata uhakika au uhalisia wa jambo la Kasinde wee mtaje Kasie hapo ntapata notification na kukupa uhalisia ila isipobidi nna haki ya kunyamaza kimya.

Hakuna ubaya ndugu tabia na tabia zako bali ni kuwekana sawa tuu, don't take it too personal.... its JF society we are living in....

Ever smiling Kasie.

Nadhani tatizo la huyu bwana ni kama langu, nilitokea kumpenda na kumkubali sana Kasinde, sasa ku adjust kwa Kasie sijui naonaje..yaani naona kama nadanganywa hivi 🙂 🙂
 
Weeeh!!!, utaweza kuvumilia kusikiliza huo mrejesho utakaoletewa.... heheheheheeee vingine kubali vikupite tuu, ukiona manyoya ujue ishaliwa....
Basi naomba niwepo eneo la tukio kushuhudia live..Mana kauli taarifa ina mapungufu yake
 
sawa kabisaa, salute to you Daby.
Yeah you should.. I'm your soldier. And a soldier is always a solder.

Right now I'm going to change your name?? Guess the name....[emoji16][emoji16][emoji4][emoji4]
 
Back
Top Bottom