Behaviourist Kasinde aka Kasie ana nini nawe?

Behaviourist Kasinde aka Kasie ana nini nawe?

Huwezi kuamini eti kipindi kile nakuita bibi na nikweli you were my grandma ila sasa I'D mpya na usichana AKA ubinti umekurudi Hadi nakuona bila miwani.

Hilo la sukari sijui umenisingizia? Kwani kasii huwa unanichungulia?

Paulo anatumia Dan Cooper na kimombo kimemuisha sijui shida nini.
Tulimuomba sana, mada zake zilitutenga sisi tulioishia elimu ya UPE.
 
Hhahaha you guys are too crazy, t seems you each other in n out! nabaki nacheka tu kila paragraph niisomayo
 
Hahahahahahaaa Daby..... katerero weeh hahahahahaaa you are really trying to bring back my(Kasinde) grooves aah ...... heheheheee split what what..... fcuk you.....


Fcuk you American budget times.... even if it's not accepted fcuk yuuuuuh hahahahahaaa utakoma leo, jiandae haswaa


Hahahahahaaa you tell me why.... or else.....
After all you know Kasinde.. .. she likes to be fcuked only that it should be a standard gauge not mdebwedo looh heheheheee utajuta leo.....


Mentor sina neno nae, ila huyo babu huyooo Asprin analo la kujibu hapa.... ama zake ama zangu..... mfikishie salamu.

haswaaaaa....

Ndio... Kasie bin Kasinde.. ..sasa hapo yakupasa uvue miwani maana lens zinakudanganya..... sio kijana huyo Kasie ni ajuza.... usijesema mekapu zimekuchanganya.... Kasie hajui poda wala injofesi.... yeye ni wanja tuu na lipstick bin lips shine. Heheheheheheee eti bibi kijana Kasie hehehehehehehehee weeweee....


Hahahahahahhahahaaa you should've hear the tone I laught at...... yaani wewe..... umenifanya hadi nimeshusha miwani na kuiweka mezani ili nicheke vizuri aaahahahahahahaaa eti nitanata na mdundo tuu heheheheheheheheheheee
They call it swinging with the beats.... fcuk yaaah...


Napendaga ile.... umefika mahali unaangaza huku na kule unamuangalia mtu unayemtarajia huku ukiwa umekaa mkao wa wewe kutokuonekana kwa urahisi.... halafu unastuka mtu kakugusa bega..... habari yako kaka hahahahahahaaa Ile kugeuka nyuma... Kasie huyo is giving you a hand shake....hahahahhaaaa caught you.
I bet I'll see your shoulder first and I'll whisper in your ear.... it's me... Kasie.. .. heheheheheheee



You are welcomed Daby....

...The hell is going on...??
 
Haha the split water cannot be scooped. Haha yeah Fcuk me kasie, accepted. But fcuk yoh also kasie and never ask why.
Mentor he's my big bro.. but sio danger kama huyu Asprin strategist mastermind. Yeye ndiye mnyonga rizilah.

Mziki wa bibi? Yupi bibi kijana kasie au! I used to be a street dancer. Tena wa step ngumu za kariokii na zile beat za kina cow boy na africa bambataa nitanata na mdundo tuu [emoji16][emoji16].
Hahaha real! Ok let's play this blinds game. When you see me I'll see yoh back.
Gracious kasie.
Muhtasari tafadhali...
 
aah aisee ngoja nianze na wewe
Mkuu nimekukosea nini ndugu yangu hadi unichinjie baharani namna hiyo.... nenda jukwaa la siasa kuna watu wanakera hadi unatamani kutapikia au kulinyea jukwaa lichafuke lote.
 
Back
Top Bottom