Tanzania Railways Corp
JF-Expert Member
- Mar 23, 2018
- 251
- 595
Vile vichwa mlivyookota bandarini viko wapi,au mmepaki chatoPicha tofauti zikionesha Behewa mpya 44 za Mizigo zilizonunuliwa na Shirika la Reli Tanzania - TRC kupitia Mradi wa Uboreshaji wa Reli ya Kati - TIRP zilipokuwa bandarini nchini China kabla ya kuanza safari kuja Tanzania. Meli yenye jina 'Kaley and IMO' iliyobeba Behewa hizo ilianza safari hivi karibuni mwezi Agosti na inatarajiwa kufika nchini mwishoni mwa mwezi Septemba 2021.
View attachment 1904981View attachment 1904983View attachment 1904985View attachment 1904986View attachment 1904987View attachment 1904988View attachment 1904989
uchumi wa viwanda ni sisi kuunda hayo mabehewa.Sawa uchumi wa viwanda tumeuona
Eti uchumi wa viwanda Magufuli kawapa wamachinga kitambulisho haramu wauze vitu fake kutoka Chinauchumi wa viwanda ni sisi kuunda hayo mabehewa.
Magu alikuwa wa ajabu sanaEti uchumi wa viwanda Magufuli kawapa wamachinga kitambulisho haramu wauze vitu fake kutoka China
Alikuwa chizi mwenye maarifaMagu alikuwa wa ajabu sana
Muda utamsemea magufuriAlikuwa chizi mwenye maarifa
Yasije kuwa tu kama yale ya Mwakyembe yaliyookotwa bandariniNasubiria Mpk yafike