Heparin
JF-Expert Member
- Sep 24, 2021
- 450
- 3,368
Mtu wangu kutoka eneo la tukio kapiga simu kunishukuru, anasema muda mchache baada ya mimi kupandisha uzi huu, zoezi lilikokwama kwa siku nzima lilianza kufanyika huku treni inasafiri.
Chanzo cha stori: KERO - TRC rekebisheni behewa namba 14 kwenye treni ya SGR. Hakuna hewa, mtaua watu
Hatimaye baada ya kufika Morogoro, baadhi ya changamoto za behewa hili zilikuwa tayari limeshughulikiwa.
Bado tu AC nazo kwa hali aliyoina, hadi asubuhi anasema zitakuwa zimekaa sawa.
Kupitia hili limejifunza mambo mawili, bila kupiga kelele huwezi kupata haki na pamoja na kuifungia JF, kumbe wakubwa wanatusoma.
Naripoti kutoka milima ya Omatako, Namibia.