Mtu wangu kutoka eneo la tukio kapiga simu kunishukuru, anasema muda mchache baada ya mimi kupandisha uzi huu, zoezi lilikokwama kwa siku nzima lilianza kufanyika huku treni inasafiri.
Mfano ukifunguliwa kesi ya uchochezi kupitia mitandao ya kijamii especially jamiiforums. Wakati huu si kesi itakuwa rahisi? Wao wameonaje huo uchochezi wakati wameifungia JF?.