Mnada wa Mhunze
Senior Member
- Mar 1, 2023
- 168
- 819
Tutaibifsisha hii SGRView attachment 2648228
Ni behewa za kisasa na zenye mwonekano wa kupendeza zinazotarajiwa kuanza kubeba abiria mapema mwezi ujao kutoka Dar es Salaam kwenda Morogoro.
Ni ndoto iliyootwa na ndugu hayati Magufuli na sasa rasmi inaenda kuanza kutimilika hivi karibuni.
Hongera hayati Magufuli na hongera Rais Samia.
Sidhani wanaweza kuwa wazembe kiasi hichoNaona double decker hapo
Yawe tu size yake yanakopita maana hamshindwi kusema yamekuwa marefu kidogo
Hata iweje hakuna treni ya itaanza safari mwezi ujao kwenda Moro. Halafu yale mabasi mekundu mapya yaende wapi?View attachment 2648228
Ni behewa za kisasa na zenye mwonekano wa kupendeza zinazotarajiwa kuanza kubeba abiria mapema mwezi ujao kutoka Dar es Salaam kwenda Morogoro.
Ni ndoto iliyootwa na ndugu hayati Magufuli na sasa rasmi inaenda kuanza kutimilika hivi karibuni.
Hongera hayati Magufuli na hongera Rais Samia.
Wakati Tz hakuna hata kituo kimoja cha TV, ilidhaniwa mpira mpira ukanyeshwa kwenye luninga watu hawatoenda uwanjani kutazama huo mpira, lkn je mpaka sasa hali iko hivyo?Kwa muonekano kweli vipo classic.. Ila Sasa tusubirie hujuma au ugaigai .. kutoka kwa wasafirishaji wa mabasi...
Wana chosahau mi kuwa usafiri wa mabasi huwa una pungua matumizi kadri teknoljia inavyokua...
Kwa hiyo zina na lifti watu wasije zitupa.losheni ngapi?🤣🤣🤣Tena unaambiwa ni za ghorofa [emoji38][emoji38][emoji38]
Mkuu linawezekana kabisaSidhani wanaweza kuwa wazembe kiasi hicho