Behewa za kisasa za reli ya SGR zimewasili

Baadhi ya nchi wanachama wa EU wanapambana kuboresha mabehewa yenye ghorofa kama hii hapa PKP Intercity.
 

Attachments

  • 68c81e01-84dd-4ae1-939e-8d86c9e240ce.jpg
    35 KB · Views: 1
Ni mabehewa pekee? Vipi? Kuhusu kichwa ndio tutatumia lile lile donga old model
 
Tuwabinafsie waarabu wa Dubai ili kuleta ufanisi mzuri
 
Tumenunuliwa na waarabu wetu wa dubai au ni pesa zetu....
 
Kama ni ushauri mm nashauri hii reli tubinafsishe tusiachie watendaji wetu hawana uwezo huwa wao wasupervise tu.
 
Hii rangi na vumbi la bongo Huwa inawahi pauka haraka sana mfano kwa Yale mabehewa yaliyoletwa mwanzon
 
Serikali imelipa kodi kwa Waarabu kwa kuingiza hayo mabehewa?
 
Tutaibifsisha hii SGR

USSR

Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
muda si mrefu tutashindwa kuendesha, itabinafsishwa tu. cha muhimu ni kwamba ipo, tunashukuru hata uwepo wake. katika maisha nimejifunza hii dunia si ya mtu mmoja, wewe amka asubuhi tafuta pesa kwa nguvu zako zote walau ufaidi dunia Mungu akikupa uhai, ukiishia kulalamika na kujilinda kwenye kila kitu utaumia moyo, utakufa na utaachia wenzio wanakula hii dunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…