Tetesi: Behewa za SGR Kenya zilinunuliwa kwa 900M, za Tanzania 2.5B

Tetesi: Behewa za SGR Kenya zilinunuliwa kwa 900M, za Tanzania 2.5B

Nobunaga

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Posts
1,205
Reaction score
5,121
Kama hii ni kweli, na behewa zenyewe ndiyo hizi tunaambiwa ni refubished siyo mpya, basi kuna harufu ya upigaji ama TRC wamepigwa na muuzaji.

Screenshot_2022-12-05-11-52-12-402-edit_com.instagold.android.jpg
 
Hizo ulizoweka ww sio behewa mpya za Tanzania mkuu. Kama huna picha za mabehewa mapya omba uziattach hapo
 
Hizo ulizoweka ww sio behewa mpya za Tanzania mkuu. Kama huna picha za mabehewa mapya omba uziattach hapo
Ebu na wewe mwambie kwasababu hapo yalipo hizo reli ni 1000mm na mabehewa ya SGR yanahitaji reli yenye upana wa 1435mm sasa sijui aliye mwambia ni hayo ni nani?
 
TRC hayo mabehewa mnayopigwa na Wahindi nendeni SA wanayafanya chuma chakavu mnaweza kuokota na kuyapiga rangi mtauziwa kwa uzito wa chuma hii sio utani maana ipo kampuni imechukua tenda ya kuyapeleka yote scraper ni vile hata mkiokota mtasema mmeiuziwa Bilioni kadhaa..
 
Umejuaje kama hatukuyaokota huko na kuyapeleka kupiga rangi?wewe sasa unataka utibue dili la watu,maana hata huko India pia yapo kwenye scrap yard yenye miaka kadhaa,tungeweza pia kununua kama scraps,who knows?
 
Yaani mabehewa sio big deal kabisa Mkuu ni vile sio ishu zangu niliwahi wasikia jamaa wakiongelea hizo mambo walikua wanayapeleka Zambia na waliyanunua ila wao walinunua mapya kabisa....pana Mcongo yupo Kerk/Nugget ndio kazi zake hizo..
 
Hiyo ya juu siyo ya Kenya, kweli tumefanyiwa uhuni ila msitupige fix.

Kenya anatunia za diesel, hatumii za udongo, hii naona ni ya umeme
Hayo ya juu ni ya kenya bei rahisi kama mabasi ya yutong 950m, sisi ya kwetu ni hayo ya chini, 2.5bn kila moja yako kama dreamliner. Wakenya walie tu
 
Back
Top Bottom