Tetesi: Behewa za SGR Kenya zilinunuliwa kwa 900M, za Tanzania 2.5B

Kaka za kenya ziko kwenye msamaha wa kodi ,zetu hizi tumezingatia kuliingizia kipato taifa kupitia kodi hivo hio bei imejumuisha kodi kaka.
Kodi analipwa nani aliyetoa hela kununua ni nani? Mapato ya kodi yakuja vipi kama anayelipwa kodi ndio mnunuzi? Msidanganywe na technicalities hewa
 
Kwani yeye mwenyewe alikuwa na utakatifu gani? Angekuwa ni mtakatifu; asingeruhusu akina Bashite, Mnyeti, Saabaya, na wengineo wengi kupora mali za watu.
Jiwe alikuwa kila jpili anaenda kanisani, hakuwa fisadi kabisa. Na hata ile 1.5trn CAG Assad aliyodai hajui iliyeyukia wapi, jiwe alijichikichia 1.0trn tu kama hela ya mboga.
 

Attachments

  • kenyas-sgr-passenger-numbers-see-increase-as-uganda-is-yet-to-start-construction.jpg
    51.1 KB · Views: 2
NI VYEMA NA HEKIMA NA BUSARA SEREKALI YETU IKAJA NA JIBU NI KWA NINI BEHEWA MOJA LIMEFIKIA BEI YA BILION 2.7..... (serekali isijitie doa kizembe iwaeleze watanzania kwanini yamenunuliwa kwa kiasi hiki kikubwa cha fedha)
 
Yule angewatia mimba mchana peupe. Jamaa alikuwa na maamuzi kama mwehu.
Maamuzi ya kuiba matrillion ya watanzania nakutapanya na kugawa kwa mahawara zake jama njugu?

Nyauww 😡😡😡😡
 
Yule angewatia mimba mchana peupe. Jamaa alikuwa na maamuzi kama mwehu.
Ni bora angelifanya hivyo kuliko hawa wezi kutupiga pesa mchana kweupee na hili kolo lime kaa tu kimya lina kenua kenua na mapambio juu
 
MAGU alikuwa na kasoro na matatizo mengi lakini tutamkumbuka Sana. Hawa viongozi wetu ni walaku kuliko mbuzi.
Mtu mwenye kasoro na matatizo mengi unamkumbuka kwa lipi sasa mkuu....muache apumzike tu kwa amani mzee wa watu.
 
Hii Nchi "ngumu" kishenzi, k.............e, halafu kazi kuongeza tozo kwa wananchi tu.
 
Mtu mwenye kasoro na matatizo mengi unamkumbuka kwa lipi sasa mkuu....muache apumzike tu kwa amani mzee wa watu.
Hapajawahi na hapatawahi kutokea kiongozi bora afrika.bora yeye
 
Umejuaje kama hatukuyaokota huko na kuyapeleka kupiga rangi?wewe sasa unataka utibue dili la watu,maana hata huko India pia yapo kwenye scrap yard yenye miaka kadhaa,tungeweza pia kununua kama scraps,who knows?
[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…