Mpita Njia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 6,997
- 1,172
Watoto wangu wangu kwa sasa wameshtuka kidogo mana narudi hme late halafu nikifika napitiliza kulala but every weekend nawatoa out bila mama yao coz i really love them and will make sure nawajengea future nzuri. Nimewafungulia accounts kwa kutumia pesa iliyokuwa intended for our common projects with wife ambazo kwa sasa zimestop. mke wangu nikimwangalia usoni i can see a guilty and regretting mind. Halafu hajaniuliza why am behaving the way i do. mwanzoni alikuwa akijaribu kunimegesha halafu mimi namkazia macho analegea na kuacha. sasa hivi tunasalimiana tu ila yuko restless. Naona pia amepunguza kwenda out halafu ninanotice ameanza kidogo kupunguza kujikwatua na kujipendezesha. Sijajua atachukua mesures gani ila nitawapeni mrejesho wa events as the situation evolves.
Kaza buti mkuu, hakuna kucheka naye mpaka aombe kuondoka