Nightangale
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 265
- 2
kumbe ukianzisha masredi ya matatizo unaweza ukaangukiwa na zali kama hili? acha nikatunge sredi langu. lolmnh pole sana..dont waste your life on alcohol...njoo kwangu nikupe faraja.:whoo::whoo:
Unamuuliza point blank tu, mwanamke hana ubavu wa kudanganya kiasi hicho. Atapata ushahidi rasmi
Unamuuliza point blank tu, mwanamke hana ubavu wa kudanganya kiasi hicho. Atapata ushahidi rasmi
mimi nilikuwa na mashaka na mahusiano ya mke wangu na rafiki yangu tangu muda mrefu kwa sababu nikiwa na mke wangu nikikutana na rafiki yangu mwizi, mke wangu anaangalia chini na hawezi kabisa kumtizama jamaa. sasa imethibitika mke wangu anananihiwa na rafiki yangu.
Rudieni kusoma hiki kipande. Kuna kitu jamaa alikisoma ktk lugha ya mwili ya mkewe pindi wakutanapo na huyo 'mwizi' mtuhumiwa. Kwa hiyo kusema hakuchanganya na za kwake si kumtendea haki.
Mwenzako utamjua tu kama anajisikia awkward ktk mazingira fulani. Jamaa hapo alitumia intuition na kuona kuna kitu si sawa.
gaijin acha maskhara bana, kama mwanamke anaweza kufeki ile wanaita kufika kileleni atashindwa kukudanganya kwenye ishu ya maslahi kama hii, kuna wadada waongo kuliko wabunge wa msumbiji.
.
Unamuuliza point blank tu, mwanamke hana ubavu wa kudanganya kiasi hicho. Atapata ushahidi rasmi
Rudieni kusoma hiki kipande. Kuna kitu jamaa alikisoma ktk lugha ya mwili ya mkewe pindi wakutanapo na huyo 'mwizi' mtuhumiwa. Kwa hiyo kusema hakuchanganya na za kwake si kumtendea haki.
Mwenzako utamjua tu kama anajisikia awkward ktk mazingira fulani. Jamaa hapo alitumia intuition na kuona kuna kitu si sawa.
Sidhani. Mwanamke anaweza kukubali kamegwa ili akuumize tu huku ukweli wa mambo ni kuwa hajamegwa na vice versa.
Huwezi kujua kama anachokwambia ni kweli au la. Labda utumie lie detector test ingawa hiyo nayo inaweza isikupe majibu sahihi na ndio maana kwenye baadhi ya jurisdictions za wenzetu huwaga haziko admissible kwenye court.
Sasa mwanamke atakaekudanganya kamegwa kwa ajili ya kuku hurt tu wa kazi gani kuishi nae?
(Kisha Tigger kaa nataka kukwambia kitu hivi .................lakini bora basi nikusamehe 😛 )
Uoh ooh Tigger kafanya nini tena? Hebu nambie kwa PM kaa huwezi kuambia hapa...
Hata bongo sijui mahakama gani itapokea huo ushahidi wa eti rafiki yangu aliniambia kamuona, na mke wangu ana behave awkwardly.
Angalau hapo unaweza kuwa na pa kuanzia.Kwanza kutoka guest ajabu? anajuaje alichokifanya huko? :teeth:
L