Behind the curtain: September 11

The Bold; ni historia nzuri. Ila kuna suala muhimu hujalieleza la uhusiano wa Bin Laden/al Qaida na Utawala wa Afghanstan wa wakati huo (Wakina Mulla Omar nk) baada ya Warusi kuondoka.

Ila kuna "school of thoughts" nyingi kuhusu suala hili na kila school inavutia upande wake. OK tutaona jinsi utakavyoniga (approach) suala hili katika sehemu unazosema zitafuata hapo baadae.
 
Siku ya Jumanne, tare 11 mwezi September mwaka 2001 majira ya saa 2 na dakika 46 asubuhi mpaka saa 4 na dakika 28 asubuhi lilifanyika shambulio kubwa na baya zaidi kuwahi kutokea na kufanywa na adui katika ardhi ya nchi ya Marekani.
Mkuu the bold naomba unitag, sitaki kukosa andiko lako lolote.
 
Shukrani mkuu kwa kukeep an open mind.!

Kadiri makala inavyoendelea maswali Mengi yatajijibu humo.. Na pia mwishoni mwa makala ningefurahi members tuwe na mijadla kwa hoja kama hizi "kujazia nyama"
 
Mkuu the bold naomba nami unitag kiongozi wangu....!!!!
 
umetisha mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…