Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kausha basi,Next time tumia akili kidogo..mkuu mbona unanitukana kosa langu nini? hahahahahaa aya bwana nisamehe sana kwa kuquote uzi wote..!!!
hata nami mwanzo nilikuwa napata maudhi sana mtu anapoquote uzi wote. Na kuchukia huko kote kulikuwa kunasabishwa na kasimu kangu nilichokuwa nakitumia, kwa hiyo nisamehe sana mkuu wangu. Jioni njema kama upo Afrika Mashariki...!!!!Kausha basi,Next time tumia akili kidogo..
Hawa Wamarekani Mabwege sana sana!
Vijana walitaka kufundishwa urubani chap chap bila ya kufundishwa kutua na kurusha Ndege kwa kuwa walijua lengo Lao ni kuzichukua Ndege angani baada ya kurushwa na kwenda kuzibamiza majengoni hakuna haja ya kujifunza kuzitua
Kuna Kitabu kinaitwa 'Bush at war ' ni hataree sana hakijaacha kitu atakaefanikiwa kuzuru Maktaba za Kimataifa akitafute
Sawa mkuu!Mkuu The bold nami nitag
Shukrani sana mkuu..Uko vizuri sana Mkuu The Bold
Shukrani mkuu..Thank you the bold... Hizi ndio tunaitaga Thread
Nitafanya hivyo mkuu..tafadhali The Bold naomba untag kiongozi maana hizi zinasigishana nami
Shukrani sana mkuu!Mkuu the bold asante sana kwa elimu yako nzuri ubalikiwe sana. Usisahau kunitag.
Niongeze na mm kwenye taglist mkuu
Pamoja sana mkuu..Asante sana mkuu,
Amen..shukran sana mkuu the bold mungu akuzidishie chief.
Sawa mkuu..Me pia mkuu the Bold