Behind the curtain: September 11

Mkuu The Bold shukrani sana kwa bandiko hili.....nikiri tu kuwa kila nikimaliza kusoma mabandiko yako hasa ugaidi na ujasusi,huwa nawaza sana juu akili za hawa watu, nikama wote wana akili sawa ila tifauti ni kuwa mmoja anaelekea mashariki mwingine magharibi.......shukrani sana Chief.
 
hujalazimishwa kusoma mkuu....amini unachokiamini.....taarifa inapokelewa,inachujwa kisha inachambuliwa....embu na wewe weka unachokifahamu......sio kumdis mtu mwingine...
 
Unaonaje ukianzisha thread yako ukaja na another version ya hii story ukaanza kabisa na Oklahoma city bombing ambayo ilikuja ku pave way for sept 11.
Maana e bold yeye akaongelea what we people take as reliable sources zinavyosema, hajataka kuleta stories from conspiracy theories.
So ni jambo la kushangaza wewe kumtaka aje na hizo story kama waona ni nzuri anzisha thread zako hata mimi mwenyewe nimesoma sana hizo theories na nimetazama mpaka video lakini siwezi kuja hapa nikapinga alichokiandika maana that is what the world was told.
It might be true or not true lakini itakuwa vizuri kuanzisha thread yako.
 
 
Umeanza tabia ya SHIGONGO na magazeti yake ya ijumaa...humalizi stori...ili uendeleee kula muda wetu..kwani ni TAMTHILIA HII?. Licha ya kutusaidia kwa kuyakusanya matukio pamoja..ila sasa umeanza kula muda wetu..au tupe link /translation source tusome wenyewe...Au sasa tutanza kuona kama unaboa....pia hii inaonyesha umeanza kuishiwa matukio...unaanza kuketa series. Hii mbinu hiache itakupunguzia wafuasi. Maliza stori ..ulete ingine maana ziko nyingi duniani...HATA HIVYO NAKUSHUKURU kwa kutenga muda wako !.
 
Mkuu njia rahisi ya kuepuka kusubiri ni kuacha mpaka story yote iishe ndio unakuja kuisoma yote. Au kama huwezi kusubiri unaweza kumuunga mkono kule kwenye group lake la Whatsapp kwa ku'subscribe' kwa ada nafuu tu. Hapo utakua umeepukana with what you call 'mambo ya Eric Shigongo'. Vingenevyo hii post yako inamkatisha tamaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…