Behind the curtain: September 11

Behind the curtain: September 11

Nyerere alifanya la maana sana kuwafanya Watanzania wasijuwe kingereza kama Kiswahuli, maana kwa ujuwaji wetu ingekuwa ni shida hadi waandishi wa udaku wangefanya hizi kuwa makala zao kwenye vigazeti vyao uchwara.

The bold hatoi mbinguni simulizi hizi bali anasoma tu mtandaoni kwenye source mbalimbali na kutranslate kwa kiswahili, kwa kifupi The bold ndio Lufufu wetu huku JF kwenye kijiwe hiki.
 
Hadi hapa nilipofikia ktk simulizi ya nyuma ya pazia ya september 11, nimetokea kumkubali Atta kinoma alaf na mimi najiona kama nipo ktk hilo tukio hatare sana, kingine nataka kuuliza hivi hadi leo hakuna jamaa ambao wame act movie kuhusu ichi anachotusimulia The Bold???
Hivi internet huwa zinawasaidia nini? Huwa nashindwa hata kuwashangaa watu wa sampuli yako.

Ccm itatawala milele mpaka pale kizazi zembe kama hichi kisicho hata na chembe ya udadisi kitakapotomea.

Google is ur user friend brother.

IMG-20170228-WA0034.jpg
 
Hivi internet huwa zinawasaidia nini? Huwa nashindwa hata kuwashangaa watu wa sampuli yako.

Ccm itatawala milele mpaka pale kizazi zembe kama hichi kisicho hata na chembe ya udadisi kitakapotomea.

Google is ur user friend brother.

View attachment 475669
Wewe utakuwa na matatizo ya akili sio bure.
 
Sure, take time the bold. Andaa kitu cha uhakika kama kawaida yako, vitu vya ukweli siku zote.
 
Hadi hapa nilipofikia ktk simulizi ya nyuma ya pazia ya september 11, nimetokea kumkubali Atta kinoma alaf na mimi najiona kama nipo ktk hilo tukio hatare sana, kingine nataka kuuliza hivi hadi leo hakuna jamaa ambao wame act movie kuhusu ichi anachotusimulia The Bold???
Movie zipo Mkuu.. Tafuta
 
5000 × 250= 1250000/=

Uko vizuri online earning.

Bado kuna majinga yanajiita wasomi mshahara laki tano kwa mwezi.

Ndio mana waliwa washeri mnaongezeka sana Tanzania na wenye tabia za Kike kama hizi we inakuhusu nin mwenzio anaanzisha bar unaenda mchomea serikalin il mradi aishi maisha ya kula kwa shemeji na kulala sebuleni kama wewe
 
Salute Sana mkuu [HASHTAG]#the bold[/HASHTAG] Kuna makala moja hivi siikumbuki niliwahi kuisoma somewhere kwamba bin laden licha ya kuwa shabiki mkubwa WA Arsenal pia alikuwa shabiki mkubwa WA Whitney Houston,alimpenda mno Whitney kiasi kwamba ilifika mahali akaamrisha mkewe awe anaset nywele kama Whitney,Japo upande WA pili tunaambiwa jamaa aliupinga Sana umagharibi hii imekaaje mkuu,
Wallah juzi ktk maongezi yetu nilimuambia hivi The bold.
 
Back
Top Bottom