hassan nyello
New Member
- Feb 13, 2017
- 1
- 1
Safi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona umeingia kwa jaziba , hivi uliingia kwenye hiyo link ???? hiyo ni part of the story otherwise ukitaka story yote nafikiri itabidi iandikwe kwa miakaNdio ukaona bora ku quote uzi mzima kwa maneno machache Hivi
Mbona tayari upo mkuu..Na mimi nataka![emoji24] [emoji24] [emoji24]
Shukrani mkuu.. Muendelezo unakujaShukrani na hongera...nasubri mwendelezo
Wanaendelea tena kufanya tena kosa hilo hilo kule Syria sasa hivi. Ndio maana watu wengine wanadhani kuna dhamira yao wameificha 'behind the curtain'Much respect The bold
Nilichogundua vikundi vingi vya kigaidi vilianza mikononi mwa nchi za Magharibi hasa kupitia mfumo wa ufadhiri ili kumpinga yule wanaemhisi ni mvuruga maslahi yao na mwisho aidha baada ya mission kuwa possible ndipo haya makundi yanapoenda mbali zaidi na kija na maslahi yao binafsi ambapo wanweza kundhuru hata yule aliyewafuga...
Kumbe malipo yote ni hapa hapa duniani...very interesting
Nitakujibu mkuu mwishoni mwa makala.. Nalihifadhi hili swaliIla mkuu nisaidie haya
Mpaka Mohammad bin Awad bin Laden anafariki mwaka 1967 Osama ana umri wa miaka 10 tu kwamba hawezi kabisa kusimamia mali na utajiri wa baba ake. Je wakati huo nani alikuwa msimamizi wa hizi mali?
Chuo alijiunga mwaka gani?
Wakati anajiunga na kundi la Mujahedeen alikuwa na umri gani?
Shukrani sana chief..Aah aah bold hauniangush braza... piga kazi km jina lako..... big up.
Unatusumbua wewe unge-quote kawaida mbona post yako angeona mbona sisi anatujibumbona umeingia kwa jaziba , hivi uliingia kwenye hiyo link ???? hiyo ni part of the story otherwise ukitaka story yote nafikiri itabidi iandikwe kwa miaka
Hivyo basi kiongozi wa Urusi wa kipindi hicho, Mikhail Gorbachev akaamuru majeshi kurejea nyumbani na kikosi cha mwisho cha Urusi kiliondoka Afghanistan tareahe 15, February 1989....
... Kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana kutoka kwa mlinzi binafsi wa Osama Kikao hiki cha siri kubwa kilifanyika Tarehe 11 August 1988
tatizo wabongo mmezoea sana kupigwa mfano jamaa alipiga richmond na akawekewa red carpet kwao eti ni mfalme, kwa hiyo sishangai hata huyu kuwapiga bado mnaona eti anawasaidiaMkuu wivu wako mbaya sana
{color=red}The more you pretend to know, the more you become foolish{/color}