Ndugu yangu faida ya JF ni kujifunza na kuelimishana ktk majukwaa yote watu tunatofautiana kwenye jukwaa la siasa peke yake kwa maana kule ni mapenzi binafsi si akili au ufahamu bali ni mapenzi mubashara tu
Hoja yangu ilijikita kwenye tukio la Bojinka plot lakini bwana Khalid Shaikh Mohammed (KSM) amekuwapo ndani ya Philippines kwa vipindi tofauti kati ya mwaka 1991-1995 akileteleza matukio ya Suicide attack , bombing , aircraft hijacking kwa vipindi tofauti zaidi ya matukio 7 bwana KSM ameyafanya ndani ya Philippines na Al-Qaeda walichagua Philippines kwa kujua mahusiano kati ya US na Phillippines ni makubwa sana kwa nchi za Asia kwa kipindi hicho
Ndani ya US fillipino ndio jamii namba tatu kwa ukubwa kwa jamii ya wahamiaji ndani ya USA huku idadi ya wahamiaji ndani ya US wakiwa 41.3 milion huku filipino wakiwa ni 3,416,840 na kuifanya ni jamii ya tatu kwa ukubwa ya wahamiaji hawa tayali wana uraia wa US hii ni kwa mujibu wa US department of homeland security
Us nazobase Air base 5 ndani ya Philippines na Phillippines kuwa nchi ambayo US amewekeza sana kijeshi ktk nchi za ASIA
1 Antonio Baustista Air base
2 Basa Air base
3 Fort mogsaysay Air base
4 Lumbia Air base
5 Mactano- Benito ebuen Air base
So Al-Qaeda walikuwa wanajua nini wanachokifanya na mashambulizi Bojinka plot yalikuwa phase 3
ktk kitabu hicho kinaelezea vizuri sana juu ya huyu jamaa nanukuu uk 106
""KSM will return with Yousef to the Philippines in 1994 to exploit the network they built and develop the Bojinka plot (see January 6, 1995)
Khalid Shaikh Mohammed (KSM) and his nephew Ramzi Yousef have high-level protection in Pakistan around 1993, at least. This is according to Rehman Malik, who is head of Pakistan’s Federal Investigation Agency (FIA) at the time. In July 1993, KSM and Yousef are unsuccessful in an attempt to assassinate Pakistani Prime Minister Benazir Bhutto (July 1993)
Huyu bwana KSM ameshiriki matukio ya kigaidi tena kama mastermind kama matukio 43 alikuwa analindwa r (with Government Protection ) na nchi tatu Bosnia , Qatar , Pakistan
Tukio la ndege binafsi analolizungumzia
The bold ni kweli lakini si tukio la Bojinka plot na tukio hilo halikufanywa na Ramzi Yousef bali lilifanya na Moro Islamic Liberation Front (MILF) chini ya ukufunzi wa KSM lakini ilikuwa ni failed mission kwani walitegemea kuua watu zaidi ya 3000 lakini alikufa mtu mmoja tu .
View attachment 473077Khalid Shaikh Mohammed