Behind the curtain: September 11

Behind the curtain: September 11

Haaaaa mi najua kilichosababisha ni mwanamke tu....tena yupo humu humu

Poa...sema jumanne mbali
 
mkuu kwanza sikubaliani na sababu uliyoitoa. pili hata ikiwa sababu yako ni ya kweli sioni ubaya,mke ana thamani zaidi ya hili jukwaa.
Mkuu usihangaike na huyo mtu.. Ni wa kumpuuza.. Kwa wenye busara na hekima wameelewa, hao wanaoongea maneno ya kijinga tuwaache na ujinga wao..

Haiwezekani makala iruke mfululizo kwa wiki Tatu and siku moja tu niombe udhuru mtu aongee maneno ya kipuuzi!

Usihangaike nao kabisa Mkuu.. Ndio maana unaona hata kumjibu sijamjibu.. Coz watu wa dizaini yake hawapaswi hata kujibiwa
 
WAKUU,

KUTOKANA NA SABABU FULANI FULANI ZILIZO NJE YA UWEZO WANGU, SITAWEZA KUWALETEA SEHEMU YA 12 YA MFULULIZO WA MAKALA HII YA "BEHIND THE CURTAIN: SEOTEMBER 11" SIKU YA LEO.

BADALA YAKE NITAWALETEA SEHEMU HIYO YA 12 (AMBAYO ITAKUWA SEHEMU YA MWISHO KUHITIMISHA MAKALA) SIKU YA JUMANNE..

KUMRADHI KWA USUMBUFU ULIOJITOKEZA.!!

The Bold
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji36] [emoji36] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
mkuu kwanza sikubaliani na sababu uliyoitoa. pili hata ikiwa sababu yako ni ya kweli sioni ubaya,mke ana thamani zaidi ya hili jukwaa.
Wewe ni mchochezi ukubali ama ukatae, ukisoma vizuri between the line katika post yangu utaona kabisa nimeandika kwa kufanya jokes flani hivi...ndio maana nikasema mwanamke mwenyewe yupo humu humu kwa kurefer kwa Nifah ambaye hakuna asiyejua kuna jokes nyingi kumuhusu yeye na the bold

Sema wewe umeenda too far ila sio mbaya naomba unisamehe bure kama nimekukera
 
Mkuu usihangaike na huyo mtu.. Ni wa kumpuuza.. Kwa wenye busara na hekima wameelewa, hao wanaoongea maneno ya kijinga tuwaache na ujinga wao..

Haiwezekani makala iruke mfululizo kwa wiki Tatu and siku moja tu niombe udhuru mtu aongee maneno ya kipuuzi!

Usihangaike nao kabisa Mkuu.. Ndio maana unaona hata kumjibu sijamjibu.. Coz watu wa dizaini yake hawapaswi hata kujibiwa
Haishaikum si matusi na naomba sana unisamehe kwa kunielewa vibaya coz dhamira yangu haikuwa hiyo but I was trying to make funny and jokes

Nakuheshimu sana hasa mchango wako so that was not my intention na najua kuna mtu ndio amefitinisha
 
Sema SAMAHANI Mkuu, sikumaanisha hivyo.
 
Hii si dalili njema kwa mvulana kujipendekeza kwa mwanaume.

Hiyo ni nafasi ya Nifah, sasa mvulana unapomgombea mwanaume ulimwengu wote unapigwa na butwaa.

Kuna watu wenye akili waliumiza akili zao na wakaja na google search engene na inatowa huduma bure.

Hata hapa JF unapokatika viuno kama unasasambuwa kwenye kibao kata Max na Mike wanatowa huduma hii bure. Fala wewe.
Mkuu upo serious kweli kusema google na jf wanatoa huduma bure??

Hakuna cha bure kaka dunia hii we huulizi pango la ofisi zao,wafanyakazi nk pesa za kuwalipa wanatoa wapi??
 
Back
Top Bottom