mzeewangese
JF-Expert Member
- Feb 11, 2016
- 643
- 499
Mkuu bonyeza basi hiko kitufe cha ok kitu kiwe hewani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mkuu nimeshakula kitu roho inapenda naingia road sasa ni mwendo wa gia mpaka lusumo border....usiasahau mkuu hebu pekua pekua kwenye maktaba yako lete kitu ingine ya kushangaza.....ila usisahau kumwambia bashite tunaitaji vyeti haaa haa haa natania mkuuTayari mkuu.. tumepishana sekunde kadhaa tu kabla sijapost.. hahah
Mkuu THE BOLD...naenda mbali sana lusumo border nimepaki gali hapa tinde njia panda ili nikusome kwanza....ndo nianze kuitafuta kahama
KUANZIA WIKI IJAYO NITAANZA KUWEKA MAKALA MPYA AMBAYO TUMESHAIANZA HUKO WHATSAPP, INAITWA "THE KING MAKERS"..!! Usikose..
Weka namba ya voda nitume hiyo pesa mm nimechoka kusubiri huku kwa muda mrefuNicheki 0718 096 811
(Kuna subscription fee ya shilingi elfu tano)
mkuu usinisahau kwenye ufalme wako kwa kunitagKUANZIA WIKI IJAYO NITAANZA KUWEKA MAKALA MPYA AMBAYO TUMESHAIANZA HUKO WHATSAPP, INAITWA "THE KING MAKERS"..!! Usikose..