Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Zipoje hizo au Nina search kwenye site behind the sceneBehind the scenes za kwichi ndio hatari.....niligundua kumbe mabeberu wanataka tu kutuua na hii mikongo
Halafu kuna wahuni wanakuja shusha torrent bure kabisa.Sana tu, imagine budget ya movie ni $200m na zaidi
Unaweza ukawa na fedha nyingi usiwe na akili ya kuzitumia.Hapo si akili nyingi ni fedha nyingi na vifaa hakiki.