Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo mara serengeti wapi kiongoziNorthern Tzania ndiko niko
mimi kitu ambacho niko curious kujua ni jinsi gani Ant man alitoka humu.. aliingia kwenye Quantam realm akawa anasubiri Hope,doctor jane na pygm wamrudishe kumbe profesa thanos kashafanya yake...Sijui ant man atacheza vipi sipati picha mimi ni mhanga wa hii movie
sipo mara mkuu niko mkoa mwingine kabisa
Unataka umkhashogi nnWapi mkuu
aliondoka kabla wazee wa kazi hawajafika!.. hata asgardian sio wote waliokufa kuna wengine wamesurvive!..Varkyle aliponaje lakini wakati mtaalamu aliwaingilia mulemule ndani
yap niliona hilo thor akimwadithia rocket, ila sikuona wala kujua kama aliondoka kabla.. vipi mzee mzima Korg??? walipona au ndio hataonekana tenaaliondoka kabla wazee wa kazi hawajafika!.. hata asgardian sio wote waliokufa kuna wengine wamesurvive!..
Malcom Lumumba anakutafuta
Ajabu hii, kapuku na mjinga mie leo ntafutwa.. nitafaa nini kwake??Malcom Lumumba anakutafuta
mimi kitu ambacho niko curious kujua ni jinsi gani Ant man alitoka humu.. aliingia kwenye Quantam realm akawa anasubiri Hope,doctor jane na pygm wamrudishe kumbe profesa thanos kashafanya yake...
View attachment 1080196
kama umeona ant man and wasp.. mission kuu kwenye ile muvi ilikua kumrudisha doctor janet mke wa pygm ambae ni mama yake Hope(Wasp). Alijigeuza akawa mdoooogo zaidi hatua hiyo inaitwa Quantum relam akashindwa kurudi. Hivyo baada ya mumewe pygm kumrudisha na kumponya yule binti mwenye mavazi meupe. Mwishoni kabisa Ant man akitumwa kwenda kuchuku vitu huko kwenye Quantum realm kwa kutumia mitambo. Akawa anasubiria Hope,janet na pygm wamrudishe kumbe Thanos alishafinya kidole watu wanaanza kupukutika. Kati ya watu waliopukutika ni hao hapo juu. Huvyo ant man alikwama kule kwenye ant man ndo nataka nione alitokajeSjaelewa bado
SultanHaya mamovie ya aina hii huwa si ya vionjo vyangu! Kila la kheri!
Alitoka kwa msaada wa panya🤣🤣🤣🤣mimi kitu ambacho niko curious kujua ni jinsi gani Ant man alitoka humu.. aliingia kwenye Quantam realm akawa anasubiri Hope,doctor jane na pygm wamrudishe kumbe profesa thanos kashafanya yake...
View attachment 1080196
Ingia yiffy ishatoka hd.I saw that scene bro.. Kiukweli $7.5 yangu ilienda halali kwa masaa yale matatu. Je ishatoka Torrent au?