Behold what the West and Israel has done by overthrowing Assad in Syria

Imeniuma sana kuuwa binadani hadharani namna hiyo.kwa Nini wasingemfunga jela tu na siyo kufanya huo ujinga walioufanya.Hii serikali mwisho wake utakuwa mbaya.
Hao washenzi waliwafanyie Raia hivyo hivyo tena wakitamba hadharani huku wanacheka.

Angalau wao wanalipa walichofanya. Lakini Raia wa Syria hata comment ya mtandaoni tu ungefumuliwa ubongo hadharani.
 
mwisho wa Zionists utakua mbaya sana
 
Imebakia sasa kutimia kwa Unabii wa kuangamizwa Damascus! Isaya 17:1.
 
Mleta mada acha upotoshaji.Aliyenyongwa sio Suleiman Hilal Assad cousin wa Bashar Assad.Huyo pichani Ammar Assad ambaye alihukumiwa kwa kosa la kuua raia mwenzake.Ammar Asad hana undugu na Bashar Assad ni majina tu yanafanana.
Kabla ya kukopi na kupaste tumia akili yako kutafuta ukweli.Nasema hivi kwasababu umekuwa na tabia ya kubeba habari nyingi za uongo kutoka mtandaoni na kuzileta hapa bila kuzichuja.
Grow up!
 
US. Europe, Israel na Al Wahab from Saud Arabia ndio ISIS na Al Qaeda
 
US. Europe, Israel na Al Wahab from Saud Arabia ndio ISIS na Al Qaeda
Nimewashangaa sana Syrians kufurahia ujio wa HTS,sijui wamesahau Libya, Somalia na Sudan ya Kaskazini.....!?Kama mazuzu vile.Yaani hadi huruma.
 
Nimewashangaa sana Syrians kufurahia ujio wa HTS,sijui wamesahau Libya, Somalia na Sudan ya Kaskazini.....!?Kama mazuzu vile.Yaani hadi huruma.
Sio wote wamefurahi hata wakristo waliopo Syria hawaja furahi, sababu hao jamaa sa yoyote ile wanaweza walisha mchanga.

Aljazeera na channels za kiarabu hao ndio wana wapamba kusema Wasyria wamefurahi. Kweli Assad ana makosa kwani Shetanyahu yeye hana makosa? Mbona US hampindui au kusema ni dictator 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…