Bei halisi ya kiwanja 20x20 kwa Moshono Arusha

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
1,224
Reaction score
1,250
Habari wanajamii forums,

Nilikuwa naulizia bei ya kiwanja 20x20 kwa maeneo ya Arusha hasa moshono,maana mdau kaniambia sio chini ya milioni 10,kwa wadau WAZOEFU kiwanja ukubwa huo naweza kukipata kwa bei gani ambayo ni halali kabisa.

Ahsanteni.
 
utapata kwa milioni 10-12 ...waone kambele investment ni madalali mashuhuri northen region yote
 
Arusha yote viwanja n bei kubwa kuliko mikoa mingi tanzania
 
Habari wanajamii forums,

Nilikuwa naulizia bei ya kiwanja 20x20 kwa maeneo ya Arusha hasa moshono,maana mdau kaniambia sio chini ya milioni 10,kwa wadau WAZOEFU kiwanja ukubwa huo naweza kukipata kwa bei gani ambayo ni halali kabisa.

Ahsanteni.
milioni 7, madalali ndio wanapandisha
 
Njoo nikupe kiwanja Enaboishu miguu 30 kwa 30....Njoo na mita 10.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…