BARA BARA YA 5
JF-Expert Member
- Sep 11, 2009
- 1,174
- 835
Nani kasema hizo bei mkuu hatari yaaaniKuanzia lini hizi bei?
Kazi ya uchawa ni shida sana sana. Kazi iendeleeeeeSerikali imetoa mbei mpya ya mbolea yenye ruzuku.
DAO kutoka 131,676 hadi 70,000
Urea..................124,724 ...........70,000
CAN ...................108,156............60,000
SA...........................82,852............50,000
NPK.......................122,695...........70,000
MAMA SAMIA HOYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
Usichukulie poa mkuu sina hakika kama serikali itaweza kutoa ruzuku hiyoSerikali imetoa mbei mpya ya mbolea yenye ruzuku.