Bei mpya elekezi ya mbolea

Bei mpya elekezi ya mbolea

BARA BARA YA 5

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2009
Posts
1,174
Reaction score
835
Serikali imetoa mbei mpya ya mbolea yenye ruzuku.

DAO kutoka 131,676 hadi 70,000
Urea..................124,724 ...........70,000
CAN ...................108,156............60,000
SA...........................82,852............50,000
NPK.......................122,695...........70,000

MAMA SAMIA HOYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
 
Kazi ya uchawa ni shida sana sana. Kazi iendeleeeee
 
Hata kwenye mafuta mlishangilia ivo ivo kilichotokea nadhani sina haja ya kueleza.Tusubiri vitendo.
 
Serikali imetoa mbei mpya ya mbolea yenye ruzuku.

DAO kutoka 131,676 hadi 70,000
Urea..................124,724 ...........70,000
CAN ...................108,156............60,000
SA...........................82,852............50,000
NPK.......................122,695...........70,000

MAMA SAMIA HOYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
Usichukulie poa mkuu sina hakika kama serikali itaweza kutoa ruzuku hiyo
 
Hali ikiwa hivi inaweza kuleta nafuu kubwa kwa wakulima ingawa nina mashaka utekelezaji wa jambo hili kama utakuwa rahisi kwa wakulima. Bei kubwa ya mbolea imekuwa kitanzi kikubwa kwa wakulima. Uzalishaji umeshuka sana kutokana na athari ya mabadiliko ya tabia nchi lakini mbolea nayo ina mchango mkubwa sana katika ilo
 
Back
Top Bottom