Mzalendo39
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 881
- 1,033
Kwe inatakiwa Serikali iangalie hili, Mafuta yamepanda ilipofika tarehe 1 bila kujali stole iliyokuwepo awali lakini bia bado bei iko palepale
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mna Bunge Tukufu tangu lini?Wakuu tupeane mrejesho!
Bunge letu tukufu lilipunguza bei ya kinywaji pendwa kwa Watanzania, sasa mpaka sasa hivi mwaka wa fedha mpya hatujapata bei mpya -- kulikoni?
Iliyotolewa fasta ni ile ya petroli, huwaga haichelewi hata kwa bahati mbaya....Wakuu tupeane mrejesho!
Bunge letu tukufu lilipunguza bei ya kinywaji pendwa kwa Watanzania, sasa mpaka sasa hivi mwaka wa fedha mpya hatujapata bei mpya -- kulikoni?
Kweli bhana watumishi tuanze kujilipua kwenye ku-bet, loni bodi wenyewe wanakamua na deni halishuki....Mimi naomba tu kufundishwa namna ya KUBET!! Maana hakuna namna, ili tufidie hizi TOZO za Mwigulu! 😁😁😁
Huwa nasikia tu kuna Odds, odds 1.5, odds 2!!! Sijawahi kuelewa zinamaanisha nini!!
Sidhani kama Ni ukweli,labda lengo lako ulitaka kutuonesha kuwa umekunywa baloziTanzania kwanza tunauziwa makapi ya bia kwa muda mrefu uliopita Jana ndo nimekunywa bia japo nlikunywa nne kwa said ya 16k lakini nilifurahia Ile taste yake Yan ilkua n Ile real bia kwa tulianza kunywa pombe zile 500ml nadhani mnanielewa.
Kenya wanakunywa bia tamu aisee Yan nlipiga na kucheua safii kabisa View attachment 1838038View attachment 1838039
Kwani bei ya 27,000 imeshaanza? Hizo ni ngonjera za bungeni tu utekelezaji wake haupo.mpaka sasa Waulize Tanesco wamekwama wapi? Wanasema system ya kulipia control number bado haijerekebishwa ni mwezi sasa hawapokei bei mpya wala ya zamani wamesimama wakisubiri system ijirekebishe yenyeweWeekend ya kwanza sio; tunapaswa tukutane na waliolewa chakariii wakihangaika kujaza mafuta kwenye magari yaliyozima barabarani, kwa vichupa vya 1.5ltrs😀😀😃😃
Lusinde aka kibajajiBunge letu limejaa viazi