mpe huyo unayemuagiza 50,000/= mwambie change arudishe..ahsante je unahisi bei hii huenda ikawa sawa na pale tabora igunga
Risiti wakaandika tofauti mkuu,nishawahi agiza mtu anijazie mtungi huo wa kg 15 aniletee na risiti,alifanya hivyo lkn nilinote makosa Fulani ambayo yalionesha nimepigwa,45000 ikaandikwa 48000 elfu. Halafu mtungi wa kg 15 akaandika kg 30mwambie aje na rist mdanganye unaipeleka ofisini kwako