noel oga
JF-Expert Member
- Oct 20, 2015
- 272
- 219
Habari,
Mazingira yangu ya kazi ni kijijini nahitaji kujaza gesi ya lake pale Igunga mtungi wa kg 15 nauliza je bei ya sasa ya kujaza kg 15 ni bei gani. Nauliza nipate uhakika maana naagiza mtu kutokana na mazingira niliyopo.
Msaada watu wa Igunga hapo.