Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Ila 🤣🤣Mbn kama hujapenda?
Ila 🤣🤣Mbn kama hujapenda?
Dah kweliNdio bei hizo si basi tu hii nchi viongozi washenzi washenzi wanaamua tu
Dah kweliNdio bei hizo si basi tu hii nchi viongozi washenzi washenzi wanaamua tu
SawaUlitaka ipande?? hata hivyo haijashuka imebaki palepale
Mnapozwa ili Muomboleze vizuri.Mbona imeshuka sana
Dollar pia imeshuka sana sasa hivi. Ilipokuwa 2700 mafuta yalifika 3000. Sasa hv usd moja ni 2465 na dollar zipo kwenye mzunguko za kutoshaMbona imeshuka sana