Tetesi: Bei mpya za vifurushi vipya vya DStv

Tetesi: Bei mpya za vifurushi vipya vya DStv

Mimi ni mpenzi wa mpira, naangalia TV endapo tu kukawa na mechi na huwa napenda kuangalia na watu sehemu zenye vibes kama bar. Mbali na mpira ni mpenzi sana wa Movies tena series, so nikiwa home nawasha TV kuangalia movies tu basi.

Nimegundua pia uwepo wa Internets hasa hizi router unlimited na fibers, kumeporomosha saana soko la vifurushi, hata Azam ukiachana na ligi ya Tz, soko lake la king’amuzi linaweza kushuka kwa sehemu kubwa sana.
 
Wee usiniambie? Napata wapi hiyo Azam ya Malawi?

Tatizo DSTV hakuna Ligi ya Bongo, ingekuwepo basi Azam isingekua na maana kwangu.
Azam ananikamata ligi ya Bongo hapo tu.
Kwa quality ya DSTV, angeonesha ligi ya Bongo, angewachukua Watanzania wengi sana.

Wale jamaa upande wa tamthilia wapo vizuri, tamthilia zao zina quality kubwa, pure HD, Sound Quality iko juu sana.
 
Wee usiniambie? Napata wapi hiyo Azam ya Malawi?

Tatizo DSTV hakuna Ligi ya Bongo, ingekuwepo basi Azam isingekua na maana kwangu.
Azam ananikamata ligi ya Bongo hapo tu.
Vipo vinauzwa ukiwa tayari sema nikupe namba
 
Back
Top Bottom