Bei na masoko ya Garnets na Tourmaline Tanzania

Bei na masoko ya Garnets na Tourmaline Tanzania

Tzmzalendo og

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2018
Posts
337
Reaction score
136
Habarin wana JF, naombeni wenye uealewa na soko la garnets na tourmaline kwa sasa 2022, dealers wazur na mengineyo anisaidie.
Pia mm ndo first time nimeupata huu mzgo chimbo na nimeuchimba mwenyew, n mzgo wa ukwel? From the picture

A08DE426-2D9A-4812-9028-A4A2AC61A345.png

83162D09-CF55-4F9F-B70B-14C5E2930D7F.png

FE54D771-7B42-466C-AADF-0A83CBE6516E.png

4EA48C37-4755-497C-A3FF-346AE8979104.png
 
Kwa hiyo ulienda kuchimba pasipo kujua thamani yake, soko lake na wanunuzi wake wakoje na wako wapi?
Hii ni hatari.
 
Kwa hiyo ulienda kuchimba pasipo kujua thamani yake, soko lake na wanunuzi wake wakoje na wako wapi?
Hii ni hatari.
Ilitokea tuu mtu alikuw alipata chimbo, akanishilikisha , tumeyapata ya kutosha but sikuw nishafanya research ya soko as imekuw kama zali tuu
 
Back
Top Bottom