T Tzmzalendo og JF-Expert Member Joined Dec 30, 2018 Posts 337 Reaction score 136 May 9, 2022 #1 Habarin wana JF, naombeni wenye uealewa na soko la garnets na tourmaline kwa sasa 2022, dealers wazur na mengineyo anisaidie. Pia mm ndo first time nimeupata huu mzgo chimbo na nimeuchimba mwenyew, n mzgo wa ukwel? From the picture
Habarin wana JF, naombeni wenye uealewa na soko la garnets na tourmaline kwa sasa 2022, dealers wazur na mengineyo anisaidie. Pia mm ndo first time nimeupata huu mzgo chimbo na nimeuchimba mwenyew, n mzgo wa ukwel? From the picture
N NGOMEKONGWE2021 JF-Expert Member Joined Dec 6, 2021 Posts 616 Reaction score 1,225 May 9, 2022 #2 kawauzie wa Thailand na wa Sri lanka pale maeneo ya Upanga
N NGOMEKONGWE2021 JF-Expert Member Joined Dec 6, 2021 Posts 616 Reaction score 1,225 May 9, 2022 #3 kawauzie wa Thailand na wa Sri lanka pale maeneo ya Upanga
Zanzibar-ASP JF-Expert Member Joined Nov 28, 2013 Posts 11,550 Reaction score 40,697 May 9, 2022 #4 Kwa hiyo ulienda kuchimba pasipo kujua thamani yake, soko lake na wanunuzi wake wakoje na wako wapi? Hii ni hatari.
Kwa hiyo ulienda kuchimba pasipo kujua thamani yake, soko lake na wanunuzi wake wakoje na wako wapi? Hii ni hatari.
T Tzmzalendo og JF-Expert Member Joined Dec 30, 2018 Posts 337 Reaction score 136 May 10, 2022 Thread starter #5 NGOMEKONGWE2021 said: kawauzie wa Thailand na wa Sri lanka pale maeneo ya Upanga Click to expand... Shukran ndugu yangu 🙏🏾 Kwa kunialoccate
NGOMEKONGWE2021 said: kawauzie wa Thailand na wa Sri lanka pale maeneo ya Upanga Click to expand... Shukran ndugu yangu 🙏🏾 Kwa kunialoccate
T Tzmzalendo og JF-Expert Member Joined Dec 30, 2018 Posts 337 Reaction score 136 May 10, 2022 Thread starter #6 Zanzibar-ASP said: Kwa hiyo ulienda kuchimba pasipo kujua thamani yake, soko lake na wanunuzi wake wakoje na wako wapi? Hii ni hatari. Click to expand... Ilitokea tuu mtu alikuw alipata chimbo, akanishilikisha , tumeyapata ya kutosha but sikuw nishafanya research ya soko as imekuw kama zali tuu
Zanzibar-ASP said: Kwa hiyo ulienda kuchimba pasipo kujua thamani yake, soko lake na wanunuzi wake wakoje na wako wapi? Hii ni hatari. Click to expand... Ilitokea tuu mtu alikuw alipata chimbo, akanishilikisha , tumeyapata ya kutosha but sikuw nishafanya research ya soko as imekuw kama zali tuu