Bei ya Bati imepanda mnooo! Punguzeni bei

Bei ya Bati imepanda mnooo! Punguzeni bei

Issue ni kwamba TRA na wakusanya Kodi wengine wameshupalia hii biashara na kuweka Kodi kubwa sana hivyo bati lazima bei ipande tofauti na uchumi wa mtanzania ulivo. Nyumba ya kawaida ndogo inayotaka bati 30 itacost sana
Gauge 28 bati za migongo ya kawaida ambazo sio za rangi ni 17,000 *30=510,000
 
Back
Top Bottom