Bei ya bati migongo mikubwa 28G (Gauge 28)

Kibirizi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2011
Posts
604
Reaction score
146
Wanajamvi napenda kuuliza kwa mtu mwenye taarifa za kina juu ya bei za bati migongo mikubwa gauge 28 ambazo zinategenezwa na Aluminium Africa, ni shilingi ngapi kwa running meter au square meter na taratibu za malipo zikoje, hali kadharika zile kofia bei zake pamoja na misumari.
 
ya gauge 26 ni 11800 kwa mita na gauge 28 ni 10500 kwa mita kazi kwako mkuu fanya mambo
 
Back
Top Bottom