Bei ya daladala yapaa juu, toka maeneo ya Mbezi, Kimara, Korogwe kwenda Kariakoo ni shilingi 1000, nani amepanga bei hii?

Bei ya daladala yapaa juu, toka maeneo ya Mbezi, Kimara, Korogwe kwenda Kariakoo ni shilingi 1000, nani amepanga bei hii?

Bei ya mafuta imeshuka tatizo la latra wamekaa ofisini na kutoa leseni hata kutangaza bei hawawezi hii mamlaka bora ifutwe
 
Watu wanachangisha hela ya kampeni wapigeni chini uchaguzi ujao.
 
Back
Top Bottom