R rodrick alexander JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 16,784 Reaction score 23,312 Jun 25, 2020 #21 Bei ya mafuta imeshuka tatizo la latra wamekaa ofisini na kutoa leseni hata kutangaza bei hawawezi hii mamlaka bora ifutwe
Bei ya mafuta imeshuka tatizo la latra wamekaa ofisini na kutoa leseni hata kutangaza bei hawawezi hii mamlaka bora ifutwe
F fazili JF-Expert Member Joined Jun 10, 2011 Posts 16,427 Reaction score 22,418 Jun 25, 2020 #22 Watu wanachangisha hela ya kampeni wapigeni chini uchaguzi ujao.