Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilijua ni Mimi tu sijaelewandio nini sasa
bandiko halijakamilika
kazi kweli kweli
Bei ya dhahabu ndiyo barometer ya WW3.Bei ya dhahabu duniani imefikia katika kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa, Jarida la Uchumi limefanya uchambuzi wa rekodi hiyo na athari zinazotarajiwa. Usiache kufuatilia habari hii, ndani ya gazeti la Mwananchi, Alhamisi hii, Agosti 29, 2024.
acha imani zako za ajabuBei ya dhahabu ndiyo barometer ya WW3.
Bei ya dhahabu ikipanda WW3 inakaribia.