Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,384
Wakuu habari zenu,ninatafuta kujua bei ya fusso used toka Japan or anywhere ambako zinapatikana. Specification ni Fighter Box yenye engine ya D16. Please mwenye idea naomba anipe msaada wa kufaham walau current price range. Asanteni sana
