Mkuu hamna kitu napenda kama kitu Bora et , hapa penyewe najipanga kununua mziki wa Sony tz 40, miziki ya kichina China sjui kodtec, sea piano, boss n.k hapana Kwa kweli, kuhusu godoro la Tanfomu nilienda maduka ya mtaani wanauza 250k, nikaenda kwenye duka moja kubwa kdogo jamaa akanambia 300K, nikamwambia mbna wengne wanauza Kwa 250, akasema hyo ni paste , akasema kama nahtaji hzo yeye atanipa Kwa 230K, but Kwa Tanfomu og mwisho ni 300k, ....
Nikaona isiwe tabu , nikawatafuta Tanfomu makao makuu Arusha wakanielekeza Kwa wakala mkuu Kanda ya ziwa, nikawanyokea kwenye depo yao wakadai bei ya kuuza ni 300K, ila wakaniambia msimu wa siku kuu huwa kuna punguzo mpak asilimia 25 ko nikihitaj Zaid nitegee msimu wa sikukuu, mi nikachukua bidhaa nikasepa, kama wamenipiga fresh Ila kwangu nimechukua kitu nilichojiridhisha....