Bei ya Godoro la Tanfom Arusha na QFL Dodoma

Kama una matatizo ya mgongo, nunua godoro la spring la tanfoam hutojutia. Bei ya mwaka juzi ilikua Tsh 550,000/- Size 5x6. La ukweli sana hutojutia.
Spring sio godoro kwa anaeumwa mgongo hapo unamuongezea kuumwa zaidi zipo godoro mbili tu hapo either special kwako Orthopedic brands zipo nyingi
Au density ya 28 hapo kuna vita supreme
AU GSM TANZANITE
 
vizuri umepata boss
 
QFl ndio lenye weee

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Usinunue godoro kwenye maduka ya kawaida hapo ulipo jitahidi ufike kwa wakala wa Tanfoam hutojutia.

Godoro madhubuti,imara na maridadi kabisa kwa thamani ya pesa yako.
Popote ni umakini tu hakuna kiwanda kinachotengeneza fake boss
Hiyo ni kubadili kava tu ambacho ukiwa makini huwezi kupigwa mbona kila siku matangazo ya utambuzi godoro zao yanatolewa mhuri wa moto
 
Natumia hilo la GSM lakini linabonyea ukilala ukiamka unajisikia kabisa hauko poa. Wallah sikutegemea kama lingekuwa na sagging this much maana lilipigiwa debe sana kuwa ni zuri. DISSAPOINTED 🤔
Yaani siooo godoro
 
Yaani siooo godoro
Niliwahi kununu godoro pale kwenye maonesho ya 77, jinsi lilivyonifanya, maonesho yaliofatia ya 77 niliwafata nikawaaambia ukweli kwamba magodoro yenu hayana viwango, povu likawatoka, nikawaacha hapo nikaondoka. Magodoro ya GSM ni uchafu tu
 
Kuna ujinga unaitwa Relax sitaki kuusikia tena!

Wameurembaremba nikapigwa promo ya kufa mtu hatimaye mwaka wa pili haujaisha tayari nikilala utadhani nimelalia jamvi lililotandikwa kwenye chaga!
 
Naomba mawasiliano yake.
 
Naomba mawasiliano yao.
 
Itakuwa ni kweli hiyo ishu ya msimu wa sikukuu. Maana hata mimi kuna kipindi nilienda ilikuwa karibia sikukuu za mwezi wa 12 wakaniuzia bei pungufu wakidai kuwa huwa wanapunguza bei msimu wa sikukuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…