Bei ya gunia la Njugu Mawe

Bei ya gunia la Njugu Mawe

jesca.com

Member
Joined
Jan 11, 2015
Posts
38
Reaction score
5
Habari ya majukumu naomba kuuliza wafanyabiashara ulieko mkoa wowote Dar Iringa Mbeya bei ya gunia la njugu mawe ni shilingi ngapi??
 
Dah mkali wangu sorry sitajibu swali lako bali naomb na mim unijuze ni wap kwa mkoa wa Mbeya naweza zipata hzo njugu mawe
 
[SUP]dah mkali wangu sorry sitajibu swali lako bali naomb na mim unijuze ni wap kwa mkoa wa mbeya naweza zipata hzo njugu mawe[/SUP]
Njugu mawe Ni hizi???
IMG_20200403_103633_3.jpg
 
mh labda apo kama zitakua bado ziko shamban ila kama zikishavunwa ziko kama karanga.angalia picha apo chini
IMG_20200917_173857_725.jpg
 
Yes nazifahamu. Tumezilima Sana nyumbani Bukoba vijijini, ingawa kule tulikuwa nazo nyekundu
 
Back
Top Bottom