Ndugu zetu mko nyuma sana, huwa mumechelewa kupita maelezo.
Average price of 1GB
Kenya - $2.73
Tanzania - $5.93
Uganda - $4.69
Worldwide Mobile Data Pricing 2023 | 1GB Cost in 237 Countries
A global league table of mobile data costs. The average cost of one gigabyte (1GB) compared from over 5,600 mobile data plans in 237 countries.www.cable.co.uk
Acha ulonga mimi napata 1gb kwa buku tuHizi taarifa zinahitaji akili kuzielewa, usijibu kwa kuwaza kuhusu offers na vifurushi vya makampuni.
Ndugu zetu mko nyuma sana, huwa mumechelewa kupita maelezo.
Average price of 1GB
Kenya - $2.73
Tanzania - $5.93
Uganda - $4.69
Worldwide Mobile Data Pricing 2023 | 1GB Cost in 237 Countries
A global league table of mobile data costs. The average cost of one gigabyte (1GB) compared from over 5,600 mobile data plans in 237 countries.www.cable.co.uk
News za kizandiki kama hizi TCRA inapaswa wa-respond!Hizi taarifa zinahitaji akili kuzielewa, usijibu kwa kuwaza kuhusu offers na vifurushi vya makampuni.
Ndugu zetu mko nyuma sana, huwa mumechelewa kupita maelezo.
Average price of 1GB
Kenya - $2.73
Tanzania - $5.93
Uganda - $4.69
Worldwide Mobile Data Pricing 2023 | 1GB Cost in 237 Countries
A global league table of mobile data costs. The average cost of one gigabyte (1GB) compared from over 5,600 mobile data plans in 237 countries.www.cable.co.uk
Shida yako ni akili fupi na kujikuta mjuaji kuliko wengine Kumbe ni bonge la kilaza,Wala!!
Nipo tena sana, maana wote naona hamna mwenye IQ ya kuelewa hii ripoti, kila mmoja ametiririka yale yale ya ofa za makampuni ya kimitandao.
Tukizungumza kuhusu ofa, yaani hata ndio msiongee maana hapa mimi nachezea internet bila kikomo nalipa kwa mwezi 1,500 za Kenya, hizo ni kama Tshs 30,000
Bila kikomo ina maana nafanya chochote, download za kila aina, natazama movies na pia nimegawa kama WIFI familia yote wameunga vifaa vyao, na walinzi kwenye estate huwa tumewaruhusu waunge pia.