Bei ya internet Tanzania ni zaidi ya mara mbili ya Kenya

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hizi taarifa zinahitaji akili kuzielewa, usijibu kwa kuwaza kuhusu offers na vifurushi vya makampuni.

Ndugu zetu mko nyuma sana, huwa mumechelewa kupita maelezo.

Average price of 1GB
Kenya - $2.73
Tanzania - $5.93
Uganda - $4.69

Acha ulonga mimi napata 1gb kwa buku tu
7gb kwa buku5 tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi taarifa zinahitaji akili kuzielewa, usijibu kwa kuwaza kuhusu offers na vifurushi vya makampuni.

Ndugu zetu mko nyuma sana, huwa mumechelewa kupita maelezo.

Average price of 1GB
Kenya - $2.73
Tanzania - $5.93
Uganda - $4.69

News za kizandiki kama hizi TCRA inapaswa wa-respond!
 
Ni Tanzania ipi hiyo We Mkurupukaji
Screenshot_20191215-091356.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kakimbia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app

Wala!!
Nipo tena sana, maana wote naona hamna mwenye IQ ya kuelewa hii ripoti, kila mmoja ametiririka yale yale ya ofa za makampuni ya kimitandao.
Tukizungumza kuhusu ofa, yaani hata ndio msiongee maana hapa mimi nachezea internet bila kikomo nalipa kwa mwezi 1,500 za Kenya, hizo ni kama Tshs 30,000
Bila kikomo ina maana nafanya chochote, download za kila aina, natazama movies na pia nimegawa kama WIFI familia yote wameunga vifaa vyao, na walinzi kwenye estate huwa tumewaruhusu waunge pia.
 
Shida yako ni akili fupi na kujikuta mjuaji kuliko wengine Kumbe ni bonge la kilaza,
Umepewa evidence za kutosha umebaki kukimbia na kurudi na excuse za kijinga,
Kwani umesikia Tanzania hakuna huduma ya unlimited Internet,
Au kuna Mtanzania anatumia internet bila kuunga kifurushi,
Huku sio kama huko kwenu mnaogopa kuwashiana Wi-Fi,
Huku mtu ana uhuru wa kununua kifurushi kwa bei rahisi tu sio kutegemea Wi-Fi za uhuru park kama huko.
 
Back
Top Bottom