Bei ya internet Tanzania ni zaidi ya mara mbili ya Kenya

Hivi kwel we unaakili timamu kwel maana tusiwe tunajadili kumbe dishi limecheza , swal dogo tu nikuulize , kwa mfano umekuja Tanzania hapo ulipofikia ukampa mtu sh elfu 10 ya kitanzania akakuunge bando la 1GB akaenda akakurushia baadae akarud akakwambia nishakuunaga GB 1 elfu 10 . wewe utamwambia haya sawa hautouliza chenji usilazimishe kisichowezekana mda mwengine utumie akili je hiki kitu kama kinakua kwel je Mimi mwenyewe naweza kununua au labda hujui thamani ya 5$ kwa TZ inauzito gani ndio maana unapiga kerere hapa?
Majibu yenu kwenye huu uzi ni dhihirisho tosha jinsi kingereza kinawatesa, na kitawatesa sana hadi kwa mkulu. Hayo matangazo Dar ya 'jifunze kingereza kwa miezi mitatu' hayatawafaidi kitu maana nyie wenyewe ni wazembe tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kwan umeambiwa kiswahili lugha ya mabeberu kiswahili lugha namba 1 ya taifa la Tanzania ,hajamaanisha lugha ya makabila amemaanisha ya taifa tulingie kisukuma Tanzania kuna kabila moja ?
Mbna wewe unajivuni kiswahili wala sio kisukuma...
Akili mgando kwel
Nyerere kawapoteza sana, mwenzenu mnafikiria alikomaa na lugha moja...aliwafanyia hvo ndio mgande akili ili apate kuwashikilia vizuri akili zenu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kwan umeambiwa kiswahili lugha ya mabeberu kiswahili lugha namba 1 ya taifa la Tanzania ,hajamaanisha lugha ya makabila amemaanisha ya taifa tulingie kisukuma Tanzania kuna kabila moja ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha kurukia mashaza jomba, huoni mwenzako kakimbia...
Tatizo lenu hamsomi mkaelwa kwanza, huaga mnakurupuka tu walai...
Mwenzako kasema "mbna hatujivunii lugha zetu" haya sasa wewe hapo nieleze lugha ya taifa aliyomaanisha ni ipi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alikwambia hivyo kwasababu anajua hamna lugha maalum ya taifa mpaka Leo karne ya 21 hamjielewi mushike wapi hahahaha taifa lenye lana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alikwambia hivyo kwasababu anajua hamna lugha maalum ya taifa mpaka Leo karne ya 21 hamjielewi mushike wapi hahahaha taifa lenye lana

Sent using Jamii Forums mobile app
Bwahahaaaa!!!imekuingia hyo[emoji382][emoji382][emoji382]
Endelea kumtafsiria alichokiandika tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]lkn ujue ukwel siku zote mchungu ndo manake naona umeamua kujichekesha ulipoona nimekubana kisawa sawa...


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Neno 'Unlimited' limewashinda kuelewa, kwa kweli Kenya tumepiga hatua sana, yaani tushindwe wenyewe tu, sikutegemea ipo siku itakuja Mkenya apatae internet bila kikomo kwa 1,500 kwa mwezi, halafu yenyewe unaigawa kwa familia yote kila mtu anatumia atakavyo.
Mimi nilianza kutumia internet kuanzia enzi za dial-up, ulikua unapiga simu kwanza ili modem iunge, gharama yake ilikua 45 Kshs kwa dakika. Tumetoka mbali sana.
 
Wakenya acheni hizo, mnazingua sana
hii hapa TTCL

View attachment 1292955
Kwa kweli nimechoka na Manyang'au kutuona tuna shida kumbe wao ndiyo balaa, sijuwi wakoje, wanatuibia Ml. Kili, Meru, Wasanii wetu na nini na nini, siye tunawatizama tu, kama haitoshi wanakuja na story zisizo na mshiko kama hizi?! Inatosha kwa kweli...
 
Eti umenibana wakati unabwabwaja maneno yasiyo na maana lazima usimuelewe kwasababu kiswahili nacho mpaka usome shule ndo uwez kuongea
Sent using Jamii Forums mobile app
 
you are a giant of a fool, hujui hata unaloandika, always posting shits. kuanzia leo naku-ignore, nani alikwambia GB1 ni $5.93 Tanzania.. Pumbavu kabisa
 
Eti umenibana wakati unabwabwaja maneno yasiyo na maana lazima usimuelewe kwasababu kiswahili nacho mpaka usome shule ndo uwez kuongea

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe siku hz mtu akisema "lugha zenu" anamaanisha lugha ya taifa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Basi kiswahili kitakua kigumu sana km wenye kutafsiri watakua watu km wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapuuze tu...manake naona wanamwaga povu hatari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…