Bei ya internet Tanzania ni zaidi ya mara mbili ya Kenya

Utapata tabu sana kuwaelewesha hawa jamaa...
Kiufupi tanzania internet ni ghali mno, wao hupagawa na offer za kijinga jinga za daily. kumbe hawajui km kenya ksh1500, unapata unlimited data unaunga na watu wengine pia...

Mk254 ..sai nipo nimetulia natumia wi-fi pole pole tu kw bei rahisi kabisa
View attachment 1294321

Sent using Jamii Forums mobile app

Mbwembwe nyingi Kumbe unatumia Tekno[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Eeeee tecno[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20191217-164050.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sibishi nimeuliza swali fupi tu. Naomba jibu.
Thats y nikakwambia km ungelikua unajua maana ya internet usingeliuliza hilo swali...kw akili yako huduma za internet hutolewa na mitandao ya simu pekeake[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]

Yani unachangia mada ambayo hta hujaielewa kabisa...rudi juu ukasome kichwa cha huu uzi kwanza...

Hamna mahali nimesema huduma ya internet inatolewa na mitandao ya simu tu bali nimeomba kujua mitandao yenu ya simu inatoa vifurushi vya unlimited data? Nimeona wachangiaji wengi wa Tanzania wanalingisha bei za internet wanazopata kupitia mitandao yao ya simu lakini sijaona Wakenya mkiongelea vifurushi vyenu vya mitandao ya simu. Kwa mfano Watanzania wanasema wanapata 1GB for TZS 1000, je nyie Kenya mnapata 1GB kwa KES ngapi kupitia mitandao yenu ya simu? na ofa za unlimited data mnapata hadi kwenye mitandao ya simu? Nitashukuru ukinijibu.
 
Akikujibu [emoji23][emoji23][emoji23]

Offer za unlimited wapo watu km zuku wanatoa...

Utajichagulia mwnywe km unataka gani..
Ksh50 unapata 500mb+ 500mb night data, ksh100 unapata 2GB+ 2GB night data, ksh39 unapata 5GB midnight to 6am..
Kazi kwako kwako mteja, utajichagulia mwenywe...

Hyo ni telcom[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Screenshot_20191220-154909_Phone~2.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom