Bei ya jumla ya red bull dar.

Bei ya jumla ya red bull dar.

Pumba Mwiko

Member
Joined
Mar 16, 2011
Posts
71
Reaction score
8
Heshima kwenu wana JF.Naomba yeyote mwenye kujua bei ya jumla ya Red bull(Case) na sehemu ninazoweza kupata Dar es salaam.Nipo mkoani na sina mawasiliano na mtu yeyote Dar.Naomba aliye na info za hiyo kitu anijuze tafadhari.Shukurani.
 
wapigie simu Mohans Oysterbay Drinks Ltd Tel: 255 22 2600457 hawa ni wakala nadhani pekee wa red bull tz, kwa mjini dsm wana duka karibu na hospital ya hindu mandal dsm

watakupa detail zote
kila la kheri
 
Nashukuru sana mkubwa.mungu akubariki.
 
Newmzalendo kakupa angalizo, sio nsuri sana kiafya. Sana sana kwa wanamichezo wanaofanya michezo ya kutumia nguvu nyingi sana.
 
Back
Top Bottom