CHASHA FARMING JF-Expert Member Joined Jun 4, 2011 Posts 7,872 Reaction score 9,263 Feb 17, 2014 #1 Wakuu Habari? Samahani naomba kujua bei ya kilo moja ya Korosho kwa sasa na zinapatikana wapi? na je mtu binafisi anaweza pata? au ndo mpaka kwenye vyama vya ushirika. ni zilizo banguliwa lakini.
Wakuu Habari? Samahani naomba kujua bei ya kilo moja ya Korosho kwa sasa na zinapatikana wapi? na je mtu binafisi anaweza pata? au ndo mpaka kwenye vyama vya ushirika. ni zilizo banguliwa lakini.
CHASHA FARMING JF-Expert Member Joined Jun 4, 2011 Posts 7,872 Reaction score 9,263 Feb 18, 2014 Thread starter #2 Hakuna anaye jua bei ya korosho? nahitaji kama tani hivi, au mwenye contact za wanao uza anipatie.
Asante JF-Expert Member Joined Dec 18, 2009 Posts 2,086 Reaction score 1,081 Apr 21, 2015 #3 Mahitaji yako ni kilo ngapi kwa mwezi/mwaka?