Bei ya Kilo moja ya Korosho

Bei ya Kilo moja ya Korosho

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,872
Reaction score
9,263
Wakuu Habari? Samahani naomba kujua bei ya kilo moja ya Korosho kwa sasa na zinapatikana wapi? na je mtu binafisi anaweza pata? au ndo mpaka kwenye vyama vya ushirika. ni zilizo banguliwa lakini.
 
Hakuna anaye jua bei ya korosho? nahitaji kama tani hivi, au mwenye contact za wanao uza anipatie.
 
Mahitaji yako ni kilo ngapi kwa mwezi/mwaka?
 
Back
Top Bottom