Bei ya kitunguu ikoje mtaani kwako?

Kumbe mpaka vitunguu navyo vimekuwa dili.
Sisi wengine tukishaacha kodi ya meza tunajua kula tu tukirudi.

Hii nchi ni kama iliyolaaniwa. Itafikia wakati mpaka nyasi zitakuwa dili maana tunakoelekea ndio zitakuwa mbadala wa mboga.
 
Weka mbadala wa kitunguu, ili kama Bei ya mbadala ipo chini tuachane na kitunguu
 
Kumbe mpaka vitunguu navyo vimekuwa dili.
Sisi wengine tukishaacha kodi ya meza tunajua kula tu tukirudi.

Hii nchi ni kama iliyolaaniwa. Itafikia wakati mpaka nyasi zitakuwa dili maana tunakoelekea ndio zitakuwa mbadala wa mboga.
Mpemba janja sana, yeye sokoni anenda mwenyewe ila gengeni kwake anamsubiri mke wa mdau kama huyu🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…